KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO TANDALE
MATANGAZO YA KANISA TAR 24/08/2013
1. UKARIBISHO
2. MATANGAZO NA VIKAO
i. Kwaya yetu ya Mbiu wanamaliza Makambi leo katika mtaa wa NYAKATO Mwanza, na kesho wataondoka kwenda Nairobi Nchini Kenya tuwaombee.
ii. Washiriki wote wa Kanisa la Tandale wamuone Karani wa Kanisa au Mzee wa Kanisa ili kutoa taarifa zao kwamba
a) Amebatizwa wapi
b) Tarehe aliyozaliwa na tarehe aliyobatizwa
c) Mchungaji aliyefanya huduma ya Ubatizo
taarifa hizo ni muhimu kutolewa mwisho ni tar 01/09/2013 kwani zinatakiwa Konferensi.
iii. Tutuakuwa na Sabato ya Wageni mwezi November goli la kila Mshiriki ni 12,000/=
iv. Mgawanyo wa pesa ya pango la Mchungaji ni Tsh.397,153/= kwa kanisa letu la tandale,hivyo kila Tshiriki anatakiwa kutoa Tshs. 4,000/= mwisho ni tarehe 31/08/2013 Sabato ijayo.
3. WAHUDUMU KATIKATI NA MWISHO WA JUMA
a) Jumatano Danielmwamlinge/Festo Sillas
b) Ijumaa Davidika Ramadhani/Paul Kaijage
c) Kufunga Sabato Atupele Mwambije/Mzee Musa Sillas
4. WAHUDUMU SABATO IJAYO
a) Benjamin Yonaza – Mhubiri
b) Mussa Sillas – Mwenyekiti
c) Jefu Onduru –Fungu Kuu Na Ombi
d) Festo Sillas - Zaka Nasadaka
e) Zephania Msolla - Mwimbishaji
5. MASHEMASI WA ZAMU: Paulo Kaijage, Enea Mwamwaja, Atanasi Kalinga,Musa Samsoni
6. MZEE WA ZAMU: MZEE BENJAMIN YONAZA
7. MZEE ANAEMALIZA ZAMU: MZEE RAMADHANI ABDALLAH
8. WAGONJWA
9. TANZIA
