WAPENDWA SABATO YA LEO TAREHE 24/04/2013 TUPO
KATIKA KANISA LA MANZESE KATIKA IBADA YA PAMOJA,
NA MHUBIRI NI Dr. Godwin Lekundayo
Dr. Godwin Lekundayo - Tanzania Union Mission Presiden
IBADA IKIENDELEA NA KANISA LILIJAA KABISA, HAWA NI BAADHI YA WASHIRIKI WALIOHUDHULIA IBADA SIKU HII.
TUNASHUKURU SANA MUNGU, KWANI WOTE TUMEBARIKIWA SANA NA MAHUBIRI YALIYOJENGWA NA SOMO LINALOSEMA ' KWANNI WATU WA WAKATI WA NUHU WALIPOTEA???
