Baada ya kuwa tumepata MIBARAKA TELE katika juma la UAMSHO NA MATENGENEZO.

TUNAWASHUKURU SANA WOTE WALIOKUJA NA KUSHIRIKI NASI.

 

 


 

 

LEO SABATO YA TAREHE 30/11/2013,

 

TUPO KATIKA KANISA KUU LA MTAA WA MANZESE TUKIWA NA VIONGOZI WAPYA

 WA UNION YA KUSINI MWA TANZANIA,

 

KARIBU SANA.

 

 

Somo linasema:

 "TUKO TAYARI KUVUKA NG`AMBO"

Tumepata visa na shuhuda nyingi sana kutoka wa Mwinjilisti na Mchungaji  

 

tumepata nyimbo na mzikimwema  kutoka  kwa Kwaya ya MBIU ya Tandale(Wana Mziki wa injili), pia Mabalozi ya Manzese na Angaza ambayo ni kwaya kongwe na wanatumia magitaa kwa zaidi ya miaka 20 mpaka leo.

 

ombi la kufunga tumepewa na Pr. Butoke.

 

MUNGU AKUBARIKISA NA KWA KUSIKILIZA MAHUBIRI HAYA

 

 

 


TIZAMA  WIMBO WA MBIU KWAYA HAPA (COMING SOON)